“Sina jinsi. Nguzo ya maisha yangu ni historia ya maisha yangu. Historia ya maisha yangu ni urithi wa watu waliojifunza kusema hapana kwa ndiyo nyingi – waliojitolea vitu vingi katika maisha...”
0 likes
Author detail
This author page remains available for legacy URL compatibility, including alias-backed slug support.
Quotes
Showing 1-20 of 41
“Sina jinsi. Nguzo ya maisha yangu ni historia ya maisha yangu. Historia ya maisha yangu ni urithi wa watu waliojifunza kusema hapana kwa ndiyo nyingi – waliojitolea vitu vingi katika maisha...”
0 likes
“Kuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni duniani.”
0 likes
“Ukitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa vitakavyohitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha – na kudumu katika maisha hayo kwa kafara ya maombi.”
0 likes
“Palestina ni nchi ya Waisraeli waliyopewa na Mungu wa Yakobo. Hata hivyo, hawakutimiza masharti. Mungu aliwaagiza kuua kila mtu katika nchi ya Kaanani na miji yake yote. Waisraeli, wakiongoz...”
0 likes
“Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli. Kuamini hupotosha, na ni nia ya kudharau kinachoweza kujulikana.”
0 likes
“Mungu hagawi pesa kwa watu kama watu wanavyofikiria. Anagawa upendo na hekima.”
0 likes
“Ndoa isipokuwa na furaha itaitafuta pengine.”
0 likes
“Shinda hasira ndani ya moyo wako kwa silaha ya furaha.”
0 likes
“Kuamini (mbali na imani, ambayo ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana) ni kwa ajili ya vitu usivyoweza kuvielezea. Unaamini kwamba siku moja dawa ya UKIMWI au saratani itapatikana mahali fu...”
0 likes
“Don't deceive yourself! The church does not heal anyone! Your faith is the one that cures you.”
0 likes
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.”
0 likes
“Wasifu wa viongozi wa Kolonia Santita ni siri kwa sababu siri ni siri ya mafanikio.”
0 likes
“My principle of success is SSET. That is, S - Select, S - See, E - Expect, T - Take. Select what you want in your mind. See what you want in your mind. Expect to get anything you want in you...”
0 likes
“Success is a test.”
0 likes
“Your mind wants to succeed, but your life does not want; how will you succeed? Success is not an easy thing! Success is allergic to laziness! However, it is amenable to intelligence and dili...”
0 likes
“Progress is to respect what is present and vice versa, although it may not speak out.”
0 likes
“There are many internal secrets that make a person continue to succeed, and there are many external secrets that make a person continue to hide their secrets. Internal secrets are true secre...”
0 likes
“Unataka kufanikiwa lakini hutaki watu wakuone. Kama una kipaji kionyeshe kwa watu.”
0 likes
“Maisha yangu ni kafara ya mafanikio yangu.”
0 likes
“Mafanikio ni matokeo mazuri ya jambo lolote na ni tofauti kwa kila mtu. Kama ulivyo uzuri, mafanikio yapo katika macho ya aonaye. Ni jukumu lako kujua mafanikio yana maana gani kwako, na jin...”
0 likes